Mapya Mazito Yaibuka Baada ya Niyonzima Kutua Dar|Mkataba Umevunjwa.

2018-08-12 2

Mapya yameibuka baada ya Niyonzima kutua Dar akitokea kwao Rwanda na amekua mguu nje mguu ndani kwa kinachosemekana Simba kuvunja baadhi ya vipengele vya mkataba wake na ndio sababu ya Niyonzima kuchelewa kufika. Hata hivyo anaonekana hayupo tayari kuendelea kuichezea Simba msimu ujao.

Free Traffic Exchange